Music Video

Bwana Umenichunguza
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Songwriter

Lyrics

Ee Bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote, e-eh Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zote Ee Bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote, e-eh Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zote Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa bwana Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadhihiriki Siwezi kuyafikia, hayadhihiriki, siwezi kuyafikia Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa bwana Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadhihiriki Siwezi kuyafikia, hayadhihiriki, siwezi kuyafikia Niende wapi nijiepushe, na roho yako Niende wapi niukimbie uso wako Kama ningepanda Mbinguni wewe uko Ningefanya kuzimu kitanda, huko nako uko Kama nikisema hakika giza litanifunika Giza nalo halikufichi kitu Giza na mwanga kwako ni sawasawa Ee Mungu unichunguze, ujue moyo wangu Ee Mungu (ee Mungu eee) Unijaribu, uyajuwe mawazo yangu Eeh Mungu (ee Mungu) Eeh Mungu (uone kama) Uone kama niko njia iletayo majuto ndani yangu (eeh Mungu ee) eeh Mungu (ukaniongoze) Ukaniongoze katika njia ya haki (milele) milele (maana wewe) Maana wewe ndiwe uliye niumba (uzima wangu) Uzima wangu (eeh Mungu ee) ee Mungu (macho yako) Macho yako (macho yako) yaliniona kabla sijakamilika (eeh Mungu ee) ee Mungu (nimekuita) Uisikie sauti yangu (nikuitapo Baba) Eeh mungu (eeh Mungu ee) ee mungu (ee Mungu) Ee Mungu (ee Mungu) unichunguze, ujue moyo wangu (ee Mungu) Ee Mungu (ee Mungu) Unijaribu (ee Mungu), uyajuwe mawazo yangu (ee Mungu) Eeh mungu (ee Mungu) eeh mungu (maneno) Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (mawazo, mawazo ya moyo wangu) Yapate (yapate) kibali mbele zako (ee Mungu) Eeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (maneno, maneno) Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (ye-iye-iye, mawazo ya moyo wangu) Yapate (mawazo ya moyo wangu) kibali mbele zako Eeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (ee Mungu) (Maneno) maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo (iye, iye, iye) (Mawazo ya moyo wangu) yapate kibali mbele zako (Ee Mungu) eeh mungu (ee Mungu) ee Mungu
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out