Music Video

Featured In

Listen to Relax by Christina Shusho
ALBUMRelaxChristina Shusho
Listen to Christina Shusho Essentials featuring Christina Shusho
PLAYLISTChristina Shusho EssentialsApple Music Christian

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Songwriter

Lyrics

Heh! Yeah-yeah Kurelax kurelax weh! Bwana atanibarikiri Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Bwana atanibarikiri Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Nani apinge, alichosema Mungu Nani alaani, alichobariki Mungu Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu Na kama kuna pando, 'lopandwa na mwovu (Nangoa) Pando la muovu (mi' nangoa) Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta) Andiko la hila (mi') Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu (Nangoa) Pando la muovu (mi' nangoa) Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta) Andiko la hila (Mi) Imeandikwa nitakuwa kichwa siyo mkia Wakwanza si wa mwisho Bwana atanibarikiri Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Bwana atanibarikiri Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Mi na relax, na relax ooh Na relax, na relax, na relax Mi na relax, na relax ooh Mwenyewe amesema Mi na relax (na relax) na relax ooh Atanipa utajiri wake Mi na relax (na relax) na relax ooh Atanalisha kama ndege angani Mi na relax (na relax) na relax ooh Atanipamba kama ua kondeni Mi na relax (na relax) na relax ooh Yesu akisema atafanya Mi na relax (na relax) na relax ooh Neno lake ni amina na kweli Mi na relax (na relax) na relax ooh Bwana atanibarikiri Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Atanipa mahitaji yangu (Yesu mwenyewe amesema) Kwa kadri ya utajiri wake Kwa kipimo cha kujaa Kusukwa sukwa hata kumwagika Nangoja Juu mi' Na relax, na relax ooh Nangoja juu mi' na relax, na relax ooh Mimi na relax, na relax ooh Mimi na relax, na relax ooh Eeeh! Ooh! mimi na relax narelax ooh Mimi na relax, na relax ooh Yesu eh, Mimi na relax, na relax ooh Mimi na relax, na relax ooh
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out