Lyrics

Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Hilo ni neno Hilo ni neno Hilo ni neno Nguvu yako Inajengwa Katika hayo Unayopitia Hilo bonde (la mauti) Halitakumeza Maana kwa imani Umehesabiwa haki Nguvu yako Inajengwa Katika hayo Unayopitia Hilo bonde (la mauti) Halitakumeza Maana kwa imani Umehesabiwa haki Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Anatengeneza ushuhuda wako Umshinde adui kwa ushuhuda wako Hilo ni neno Hilo ni neno Hilo ni neno Anatengeneza bado Anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako Ushindi uko ndani yako Anatengeneza bado Anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako Ushindi uko ndani yako Anatengeneza bado Anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako Ushindi uko ndani yako Anatengeneza bado Anatengeneza bado Ushindi uko ndani yako Ushindi uko ndani yako Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Usijali Kuna nchi ya maziwa na asali Bwana amekuandalia Usikubali Kukata tamaa Usikubali Kurudi nyuma Bwana amesema Bwana ameona Unyonge wako wewe Bwana amesema Bwana ameona Mateso yako wewe Bwana amesema Bwana ameona Unyonge wako oh oh oh oh oh Bwana ameona Bwana amesema Atakubariki Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh! Iyelele Iyelele Uh! Uuh!
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out