Lyrics

Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Sihitaji hatua tano ndipo niseme Hatua ni moja nasema ni wewe Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu Ni kwa nguvu zako nimefika hapa Kwa makubwa ni wewe Kwa madogo ni wewe Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu Ni kwa nguvu zako nimefika hapa Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Kwa makubwa ni wewe Kwa madogo ni wewe Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu Ni kwa nguvu zako nimefika hapa Kwa makubwa ni wewe Kwa madogo ni wewe Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu Ni kwa nguvu zako nimefika hapa Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Tulipofika wewe ni Ebeneza Hata sasa wewe ni Ebeneza Ebeneza, Ebeneza
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out