Lyrics

Vee Money on the track, yeah It's S2kizzy, baby Moyo unanikosea, moyo unanikosea Nakaa na wewe, natembea na wewe Nalala na wewe, bado unanikosea Zungumza nami mchana (La-la-la) Zungumza nami usiku (La-la-la) Kama haifai hata ndotoni tu (Mmh-mmh) Usishindane na kichwa (Aah) Tumalizane yakaisha (Aah) Moyo nirudishie maisha (Aah) Mtupu, mtupu nimekwisha Moyo unanikosea, moyo unanikosea Moyo unanikosea, moyo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (We moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Moyo unanikosea (We moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Umeniadhibu chozi tiba yangu (We haya) Umeziharibu zote hisia zangu (Basi sawa) Moyo mbona umenitoa chambo? Moyo we hunanga chanjo Moyo umenifanya pango Moyo huishiwi mipango Waongo wote unawaleta kwangu Wanaocheati nao ni wa kwangu Walevi wote nao ni wa kwangu Mbona unajitesa? Usishindane na kichwa (Aah) Tumalizane yakaisha (Aah) Moyo nirudishie maisha (Aah) Mtupu, mtupu nimekwisha Moyo unanikosea, moyo unanikosea Moyo unanikosea, moyo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (We moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Moyo unanikosea (We moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture, moyo?) We moyo 'asa mbona unanitorture? (Mbona unanitorture?) We moyo, 'asa mbona unanitorture? We moyo
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Vanessa Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out