Lyrics

Eyy Si tuko mboka Mboka Ndovu Kuu kwa screen hamwezi nitoka Toka Nina dame Mkisii anaitwa Kwamboka Mboka So my ex can see vile nimeomoka Alafu naskia kuna vile Pamela aliokoka Okoka Anachai kwa church kuwachezea poker Poker Ushaiona cocktail ya panya na nyoka Utachoka Walitry kutudim ivo ndo tulithoka huh Ogopa Chali yako ako CRB na unaringa ayy Aki walae we ni mjinga ayy Bishana na ndovu kudenki Buda mi hudenki Huwezi Nipinga ayy ayy Msupa ni dinga ayy Nyuma ni bata mzinga ayy Aap se milkar khushi hui meraa naam haathi ki kalasinga aiyai Pigwa Tetanus ah ah Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja Tetanus ah ah Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa Tetanus ah ah Opps walitry kututest walijua hawawezi Mess with us ah ah Shhhh tulia nikupange pigwa Tetanus ah ah Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja Tetanus ah ah Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa Tetanus ah ah Opps walitry kututest walijua hawawezi Mess with us ah ah Shhhh Tulia nikupange pigwa uuuhhh Eyy kiki sikupei itabidi ujitegemee Hauwezi fika bei bas tuliza mehemehe Kuwaosha everyday hamjawai tulemea Ushindi tunashindiliiiiiiiiiaaa Eyy wanashindwa ni jea Tunasonga mbele wamekula chair Wapige kelele but we never care Mziki ni tele siwezi potea Ndovu is here mtaniskia Nko hapa na pale siwezi ishia Wananipenda huskii wakicheer Ndovu ni kuu mia kwa mia Pigwa Tetanus ah ah Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja Tetanus ah ah Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa Tetanus ah ah Opps walitry kututest walijua hawawezi Mess with us ah ah Shhhh tulia nikupange pigwa Tetanus ah ah Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja Tetanus ah ah Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa Tetanus ah ah Opps walitry kututest walijua hawawezi Mess with us ah ah Shhhh Tulia nikupange pigwa uuuhhh Mboka Hamwezi nitoka Anaitwa Kwamboka Vile Nimeomoka Alafu naskia kuna vile pamela aliokoka Ah ah ah Aki walae washatujua ah ah ah Basi weka mkono juu ah ah ah Yes you You Ndovu bado ni kuu
Writer(s): Christopher Githara Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out