Music Video

Featured In

Listen to Makofi (feat. Omollo & ODI WA MURANGA) - Single by Exray Taniua
ALBUMMakofi (feat. Omollo & ODI WA MURANGA) - SingleExray Taniua

Credits

PERFORMING ARTISTS
Exray Taniua
Exray Taniua
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Songwriter

Lyrics

Aai babi (aai babi) Alitisha fare nikasema sina na amejileta Makofi kwangu Makofi tena Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi) Makofi kwangu (makofi kwangu) Makofi tena (makofi tena) Makofi kwangu (makofi kwangu) Makofi tena (makofi tena) Makofi kwangu (makofi kwangu) Makofi tena (makofi tena) Alikuja kwangu ati ameachwa na mume wake Makofi kwangu Makofi tena Walituma pesa ati wrong number na niko na fuliza Makofi kwangu Makofi tena Wakwake bado ni wakwangu (ogopa) Wakwake anaishi kwangu Tulijuana uko kwangu alafu later akaishi kwangu Situation inatufananisha alafu dryspell inatushikanisha Alafu pombe inatuchanganisha Kidogo kidogo inatukosanisha Napiga luku moto mpaka unashtuka Natoa moshi alafu napigia zima moto (mmmh) Nafika uko naingia kiumang'oto Alafu nikitoka mi' hutokanga na watoto (Mmh) Alitisha fare nikasema sina na amejileta Makofi kwangu Makofi tena Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi) Makofi kwangu (makofi kwangu) Makofi tena (makofi tena) Makofi kwangu (yeah) Makofi tena (makofi tena) Makofi kwangu (yeah) Makofi tena (yeah) Mbona ume-double kwa tuma ya mchemi Na nikaa' mko related na Femi Heri nikope heri nibaki na deni Lakini leo itavunjikia ndani Wee ndo Cleophas wedding kwa port aah Nikushikie SUV uruke ma port holes Twende tufike SDA uchuje mapepo Kairetu kena mwongezeo kababie dadio Onei mathangu mayo Magithaka na ruhuho Alitisha fare nikasema sina na amejileta Makofi kwangu Makofi tena Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi) Makofi kwangu (makofi kwangu) Makofi tena (makofi tena) Makofi kwangu Makofi tena Makofi kwangu Makofi tena Aai babi (aai babi aai babi)
Writer(s): Tony Kinyanjui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out