Lyrics

Amesha choshwa na kulizwa na mapenzi hayaamini tena Ameipoteza furaha na wanadamu kwake hawana jema Heee, kusema ni pretend siwezi Mi kwako nime falling in love Ujenge wote mji mwema wa mapenzi I wanna give you good good love Kuficha ficha nimeshindwa siwezi I real want you be my love I need you time and attention to show you The real meaning of love love Nafasi ukinipa utanenepa niamini mi mapenzi ndio yataongea Tena naweka na nukta mabegi nashusha I real wanna love ya Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby Ni sawa yamekuumiza ila haimaanishi nitakuliza mwaya Kila mwanadamu na hurka zake Usije waza kuja kulipiza ukanitesa nisie na hatia mwaya Kila mwanadamu mapungufu yake Kivipi nikuen joy na kukuona toi eti nicheze na hisia zako wewe Me kwako sina mpango wa kando ninachotaka ni mapenzi yako I know you don't believe In love, in love, in love I go make you believe In love, in love enough Ooh I swear nafasi ukinipa Utanenepa niamini mi mapenzi ndio yataongea Tena naweka na nukta mabegi nashusha I real wanna love ya Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby Oh baby, oh baby
Writer(s): Suleyman Salim Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out