Lyrics

Hata ipigwe parapanda We ni chizi miziki Hata nkaroge nishuke nkipanda we huambiliki Nikupige ngumi ama mikanda We kutwa kwa marafiki Eti we ndo chema changu chanda Mumeo sina hata dhiki Inaniuma sana Daily unaruka makopo,Hennessy na madompo Mtaani unapita na jopo wasikusogelee (Oooh yeeeah) Unakunywa bia za mkopo,hulali usiku kama popo Umekuwa mlupoo ooh ooh ooooh Mara huko Tabata Bima naskia unatembea na madingi Unajitupa mzima mzima ukishalewa unatenda hujikingi Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi dah...!!! Nihurumieee eeeh eeeh (NIHURUMIE) Kweli nakonda silali naomba unihurumiee (NIHURUMIE) Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuuwu (NIHURUMIE) Kama nakosea samahani nihurumiee eeeh oh ooh Nikivuta taswiraaa aah.!! Sura inapoteza nuru Presha inapanda hasira Kweli vita vya panzi kunguru Njoo unikumbatie kwa mara ya mwisho kabla sijafa Lazima nikwambieee sikupi vitisho natapa tapa Kuta za moyo wangu zina nyufa Umeziharibuuuuuh pendo langu unalitupa ah.!! Mara upo Tabata Bima naskia unatembea na madingi Unajitupa mzima mzima ukishalewa unatenda hujikingi Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi Nyota unataka kuizima na mi ndo nlikupenda sipingi dah...!!! Nihurumieee eeeh eeeh nihurumie Kweli nakonda silali naomba unihurumiee nihurumie Au labda mi ndo sina mvuto wuwu wuuuwu nihurumue Kama nakosea samahani nihurumiee eeeh oh ooh
Writer(s): Ally Killy, Annie Taiton Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out