Lyrics

Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo Ooh boy you should know I can't do without you Ooh boy you should know I can't do without you Ooh girl you should know I can't do without you Ooh girl you should know I can't do without you Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo Mtoto msafi umesafisha Na tena wewe sio gold digger Heshima unayo unaridhisha Na tena wewe ndo malaika Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike Hakuna mwingine mpaka wanizike Hakuna mwingine atafanya moyo wangu upumzike Hakuna mwingine mpaka wanizike Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo Kwako nimenoga nimenoga nimenoga Nimenoga nimenoga mama Sitaki mwingine mimi na wewe Ooh kwa mapenzi nimenoga nimenoga Nimenoga, nimenoga mama Siendi kwingine ni kwako wewe Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo Te amo, ooh teamo Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo Aii Mashallah, urembo wako hauna doido Aii Mashallah, kwa urembo wako ongeza maringo Aii Mashallah, uzuri wako hauna doido Aii Mashallah, kwa uzuri wako ongeza maringo
Writer(s): Merrick Owino Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out