Lyrics

Sevens Oyeye oyeye oyeye Kuna kaboy kananiitaga babe Kanatamani kunipelekaga date Ata jana kalinipigia late Hakajui yeye sio yangu taste Amefukuzia ananiitaga toto Anasema ananiona kama Lotto Eti nikaribie ataniongeza joto Huruma namwonea juu itabaki ndoto Akimwaga pesa nitalegeza Akitoa ganji nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Lege Lege nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Akitoa ganji nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Lege (Legeza) Nikitoa pesa eti utalegeza Nadia Mukami we hukuwa umeniwezaaa Hebu bend over na ukamate meza Nadia una haga eii imeweza Leo ni kutesa (Vimajor) We ni black beauty wow napenda Najua saa zingine me sinaga pesa Nakwambia nitakopa pia nitawateka Achana na wababa, wao uhema sana Kuja Kwa bazeng, nguvu Za Kuku manga Nakwambia utascream uskike Hadi Namanga Jua Sina pesa lakini tunaeza banja (Okwonko) Akimwaga pesa nitalegeza Akitoa ganji nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Lege Lege nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Akitoa ganji nitalegeza Akimwaga pesa nitalegeza Lege (Legeza) Amefukuzia ananiitaga toto Anasema ananiona kama Lotto Eti nikaribie ataniongeza joto Huruma namwonea juu itabaki ndoto Nitalegeza Nitalegeza Nitalegeza Manzi was Kibera Legeza AmberRay Legeza Sheryl Onyango Legeza Lege lege Legeza
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out