Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nyashinski
Nyashinski
Performer
Femi One
Femi One
Vocals
Cedric Kadenyi
Cedric Kadenyi
Music Director
Nyamari Ongegu
Nyamari Ongegu
Lead Vocals
WANJIKU KIMANI
WANJIKU KIMANI
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Nyamari Ongegu
Nyamari Ongegu
Songwriter
WANJIKU KIMANI
WANJIKU KIMANI
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cedric Kadenyi
Cedric Kadenyi
Producer
Dennis Papa
Dennis Papa
Mastering Engineer

Lyrics

Hallo! (Cedo) Hallo! Kama we ni mwenyeji (Mmmh mmh) We ni mwenyeji (Hallo) Kama we si mwenyeji (Mmmh mmh) Mind your business Ka unataka ule anaichapa mpaka ilale Basi harakisha njoo na Nyumba inanukia shasha money Usitume nini kwa floor na Msupa ako mood ya ladha gane Tunaeza enda fasta au slow baby Naiva nikiskia ma Bob Marley Nikitafta plan ya doh, yeah Hatuanzishi vita tunamaliza Nani ukiniita tuma mamita Hao ma lip syncher wanawaingiza Napanda stage ju naona miujiza Originator, baba wa keja Wananitii wananiiga Nilikuwa nachoma mpaka kwa filter Ka bado uko ushago, hallo Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga Sikudai number two wakanichuja daro So nikajenga shule waje walipе karo Sai mi ndio speaker Frank Ole Kaparo Matutor zinapiga ki Usman Kamaru Kwa fam ya kipunk sikutoka So fam ya kipunk itatoka kwa mimi Amini ni jasho na damu zinatoka Nikiroga hii injili naitrеat kama dini Sai ma divai zinakuja na mzinga Wananidai na ni juzi waliringa Mungu akisense unajua huwezi pinga Odds ziko right mi sichezi na tinga Okay! Ki Femi kijembe kikali Bila budi inabidi wakubali Pata ajali ujue nani anakujali Hii maisha ni kali naichase na makali Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga Guess nani ako in the zone (Aje) Na anafeel right at home (Aje) Utajua nilikuwa kwa chuom (Aje) Na harufu ya cologne (Ssaru) Na sijawahi kosaga form (Sare) Last year niliuza maphone (Sare) Jana niliota naperform (Sare) Na kabla ya kuota niliperform huh Short na uli know kwa cliff Kabla ujue mambo ya drone Blunder imejaa na Keith Nadry ni ka na clone Mkiuliza nana ni gwiji hapa Mi naskianga ka mnanikosea heshima Hamwezi nipima, hamwezi nizima Na nimeingia naskia wananiambia? Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyaga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga Life iko order Mpaka ukweli inasound unachocha Vile naifanya sio hoja Huku East si ni si tunazoza Tunaifanyaga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyanga, proper (Proper) Proper (Proper) Properly Tunaifanyaga
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out