Lyrics

Ye. ye ye Wanakwambia mimi uniwezi Muhuni mmoja mnywezi,siwezi handle mapenzi Napenda ponda raha Lotta babies kitaa Off twende zetu Kinyerezi Ama pande za Mbezi,tudumishe letu penzi Twajua kushine like stars Tuwavimbie mitaa Kitaa, kitaa mtoto wa kitaa Kuskia hisia zangu ukunikwepa ulifulai Mapenzi ya kweli Siwesi ficha ukweli mtoto mzuri tujidai So high too high one day tuta fly Unabeba kijiji nakaa mbele niwe taa Naomba tusifeli Nabeba hatima yako unajua won't make you cry Sasaiv, bora niflai we ni wangu wa kwangu Sasaiv, nisiwe late mmoja akaitwa na Mungu Kweli, sasaiv Mapenzi, nakwaidi Tufaidi, tufaidi Ka Zayn na Didi I gat none to stop You're love girl give's me hope Wanasema umenipa upofu Muhuni nshaachaga soap We gat our path to go We lowkey plus we dope Uzuri wako uwoo Nifanye designer wako Sasaivi, sasaivi, sasaivi Sasaiv, kukuacha siwezi, tufuraie penzi, annhaa Woke up hey, no bitch stays Nipotezee Nina wangu slay, smart ass waves Jiongeze Acha hisia zituliage pia Tbt life mbona nshaanza jutia You're best from them wacha nipoe dear Muhuni nakosa na usemi maana umenishika clear Maana umenishika clear Never felt this before shori umechangia I feel you kwa mboni zangu hata nikisinzia Ayo macho io figure you gat CGy leta bills mimi nitalipia Tuweke moja nia My heart nshakugaiya Love Ntakupa na maji chumvi pia Sasaiv hivi right now, hivi right now Oooh ye yeeah, CGy
Writer(s): Tupapi Cgy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out