Lyrics

Kabla Suala ukamilishe Mum Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu wangu simu asahau alivyonipenda! Ooo Hayawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama Hayawani (Hayawani), Hayawani (hayawani), Hayawani (hayawani) hayayayaya Hayawani, (hayawani) Hayawani (hayawani), Hayawani (hayawani) hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki I'm sorry if I never made u happy I can't be there for everybody It's easy to see wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded? You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria Woii binadamu wote mmegeuka Hayawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu Hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani (Hayawani) Hayawani (Hayawani) Hayawani (Hayawani) Hayawani (hayawani) hayayayayaya Hayawani (Hayawani) Hayawani (Hayawani) Hayawani (hayawani) hayayayayaya Kabla Suala ukamilishe Mum Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu yangu simu asahau alivyonipenda! Hayawani eeeeh hayawani Hayawani eeeeh hayawani Hayawani eeeeh hayawani Hayawani eeeeh hayawani
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out