Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Miri Ben-Ari
Miri Ben-Ari
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer

Lyrics

Mhh, kama unanipenda sana, umaarufu weka mbali eh Na ile nyumba ni ya mama, ivyo usiwaze ma-darling Isiwe kesho ma-drama, pigiwa simu na Tale Eti insta natukanwa, umeshaanzisha parin' Moyo wangu mwepesi kupenda na mgumu kusahau Moyo wangu nateseka sana nnaempenda akinidharau Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina Moyo wangu, ndio nasisitiza usije na wewe... Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Ah muziki vita, hawataki niendelee Hivyo ukipata nafasi tafadhari uniombee Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoee Itaniumiza nafsi, ikifika msiongee Na mashemeje kwa ofisi unapocheka nao jitaadhari sana Si unajua wanamziki vitabia vyao wamejaa tamaa Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao usipinde kwa mama Wakikwambia kaniki mara chota nyao ujue mumeo na kwama Utamu ukizidi nikutafuna usimeze Rhoda Ongeza tu bidii kunikuna sio kuniroga Kunikoma zaidi pika nguna nitaleta mboga Kunipenda kwa bidii kwetu suna nishushie na soda Moyo wangu mwepesi kupenda na mgumu kusahau Moyo wangu nateseka sana nnaempenda akinidharau Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina Moyo wangu, ndio nasisitiza usije na wewe... Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama (bailando) Usiseme "I love you" then you lie Usiseme "I love you" then you lie Usiseme "I love you" then you lie Usiseme "I love you" then you lie Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Kamili gado
Writer(s): Miri Ben-ari, Nasibu Abdul Juma Issaack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out