Music Video

Zuchu - Hakuna Kulala (Music Video) Sms SKIZA 8549159 to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Black
Black
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

La la la la lala La laa Mhhh Namvuta faraghani tumo tubu tubu ndani Namtazama simwishi namkanda mabavuni Kayainua majeshi pita nichague mimi Aanze Bangladesh amalizie Sudan Twanozana hatosheki kaniweka kifuani Hatingishiki haruki yuhoi watwaa'bani Nampa na vyakurithi na mizungu ya kigeni Hakuna kulala, hakuna kulala Hakuna kulala, asubuhi itukute Hakuna kulala, hakuna kulala Hakuna kulala, na machweo yatukute Mmh siwezi kuficha hisia Maradhi yataniumbua Ni zimwi linalonijua, kanila kanimalizia Mbora katimiliki, kwa pasi za race race Hapitagi njia fupi, shortcut ye zanini Nampa na vyakurithi na mizungu ya kigeni Hakuna kulala, hakuna kulala Hakuna kulala, asubui itukute Hakuna kulala Hakuna kulala Hakuna kulala, na machweo yatukute (Ladha yako, ladha yako) (Ladha yako ni tamu nitamu sana)
Writer(s): Zuchu, Zuhura Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out