Lyrics

Too much money Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku (Its S2kizzy beiby) Nimeshikwa na kipururu mama Wangu keeper anataka goli Nikapate kiputururu mama Kwenye bedi Sama goli Lala! Ah ameshiba anataka kulala Basi leta mto, Lala! Ah ana mbwembe kushinda jimanala Yaani diko diko, Lala! Ananoga ka tende ka peremende ndende Ana bahari mji ka solo (kasolo kasolo) Somersault kwenye godoro (godoro godoro) Nakanyonya kama kandolo (kandolo kandolo) Nakaganda kwenye chochoro (khochoro) Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Ooh maduu, ooh madee Ah du maduu, ooh madee Sura zimevunda wanionea gere lelele Wasifanye ka tunda waninyoe na nywele lelele We sasambua sasambu (weka) Twende Arusha Marangi (weka) Saa ya muhogo Chachandu (weka) Hadi cha nyuma cha kwangu Ana bahari mji ka solo (kasolo kasolo) Somersault kwenye godoro (godoro godoro) Nakanyonya kama kandolo (kandolo kandolo) Nakaganda kwenye chochoro (chochoro) Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Lala! Ah ameshiba anataka kulala Basi leta mto, Lala! Ah ana mbwembe kushinda jimanala Yaani diko diko, Lala! Ananoga ka tende ka peremende ndende Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Fanya kama unaduku, dukua duku Kinyume nyume unaduku, dukua duku Laizer on the Mix Too much money Too much money
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out