Lyrics

Yesa man yesa yesa Badi Zombiee mmh! Shhhh! Yaani kama yangu Nitaipata hata mkiibana (Yaani kama yangu) (Nitaipata hata mkiibana) Aiii mama Kumbe siku hizi wachawi sio wazee (Aiii mama) (Kumbe siku hizi wachawi sio wazee) Nasema kama yangu Nitaipata hata wakiibana (Nasema kama yangu) (Nitaipata hata wakiibana) Aiii baba Naona wana mapepo tuyakemee (Aiii baba) (Naona wana mapepo tuyakemee) Mungu baba tusamehe tumelewa Hii dunia kuna watu wanaboa Mungu baba tusamehe tumekunywa Hii dunia kuna watu wanakera Shikilii papapapapapolipo (Shikilii papapapapapolipo) Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa (Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa) Shikilii papapapapapolipo (Shikilii papapapapapolipo) Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavayo Vaa vavavavayo Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavayo Vaa vavavavayo Mhh eeh eeh eeh Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana (Kama yangu nitaipata hata mkiibana) Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee (Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee) Nasema kama yangu wataipata hata wakiibana (Kama yangu nitaipata hata mkiibana) Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee (Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee) Mungu baba tusamehe tumelewa Hii dunia kuna watu wanaboa Mungu baba tusamehe tumekunywa Hii dunia kuna watu wanakera Mhisu! Shikilii papapapapapolipo (Shikilii papapapapapolipo) Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa Shikilii papapapapapolipo (Shikilii papapapapapolipo) Wasiopenda mimi kufanikiwa wote mavavayo Vaa vavavavayo Aii eeeeh! Uuu uuh uuh! Eeh! Wasiopenda wewe ukifanikiwa wote vavayo Vaa vavavavayo Eeeih ueh! Kamix Laiser
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Oscar John Lelo, Omary Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out