Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
Kash Keed
Kash Keed
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kash Keed
Kash Keed
Producer

Lyrics

Aah sifa sifa sifa sifa Sifaaaa sifaaa Aah maisha imepiga tiki Pochi imeshonwa fiti Sikuizi mii sishikiki juu maali niko hamfiki We bana ngoshi inashika ata bila kiki Daily sikosi riziki mziki na kawhiskey Nimekua peng Msupa ako na maweng Life imekua vivid Naiona tu kwa frame Am a ten over ten Siubanjike nitame Alafu naona kaa sii mimi kuna watu wangekosa fame Nimepanda bei circle sasa ni ndogo Kuna watu walibaki njei Kaa saii wanaomba verse Kaa huna ganji siwapei Sikuizi napiga wax Naenda Nikaka Hata msimame you can see (live vivid) Usijiwekelee hii sifa Im living vividly (lets live vivid) Kuna deal inaivisha Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid) Sijilimit i see far Im living vividly (lets live vivid) Sifa Aah umesota aah umesota Huwezi piga picha usiku (Lets live vivid) Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya Mii nikushuku (Lets live vivid) Wee live vivid Wakati wee bado uko na kina vivi (Lets live vivid) Basi lets live vivid (Lets live vivid) Ssaru ana kichere vako za hivi hivi (Lets live vivid) Ati nilicheat sina maoni Siezi kupea advice mii sio maombi Simu si cracked juu chini maodi Wanadai kunichai yangu si yao mii Mii niko na life mimi Na kaa ni eyes zote zii hukua on me Kama hauna asta lavista na mascarra sutra Unalive kama maskini (Live vivid) Alive Niko na machine (Gani?) Ya mchina twende tukalewe (wapi?) Kwangu Niko na thao mingi hatari Naenda Nikaka Hata msimame you can see (live vivid) Usijiwekelee hii sifa Im living vividly (lets live vivid) Kuna deal inaivisha Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid) Sijilimit i see far Im living vividly (lets live vivid) Sifa Aah umesota aah umesota Huwezi piga picha usiku (Lets live vivid) Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya Mii nikushuku (Lets live vivid) Wee live vivid Wakati wee bado uko na kina vivi (Lets live vivid) Basi lets live vivid (Lets live vivid) Ssaru ana kichere vako za hivi hivi (Lets live vivid) Kama ni tower zimeputin Na bado kuna russia Classic fresh man usiconfuse na fresha Nimeiwai bila kashfa Niliivisha ma hesabu si sadfa Ukisota ni laana ukiomoka ni majini Kubonga ni before tuskize watu kwa nini Aah kama dream iko vivid Chorea wasoro mbona wee hujiamini Step out Hii kitu huendanga pullpit Na kama umesota fuliza hapiness Knock out ndipo mwanzo wa kipindi Ukibribe refa namwibia firimbi Naenda Nikaka Hata msimame you can see (live vivid) Usijiwekelee hii sifa Im living vividly (lets live vivid) Kuna deal inaivisha Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid) Sijilimit i see far Im living vividly (lets live vivid) Sifa Aah umesota aah umesota Huwezi piga picha usiku (Lets live vivid) Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya Mii nikushuku (Lets live vivid) Wee live vivid Wakati wee bado uko na kina vivi (Lets live vivid) Basi lets live vivid (Lets live vivid) Ssaru ana kichere vako za hivi hivi (Lets live vivid)
Writer(s): Moses Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out