Lyrics

Mgeni ako kwenyu anachezesha mtoto si ati anapenda ako njaa Uko daro na umepigwa na kinenge unashindwa uskize lec ama njaa Kujaza number za ma celeb kwa phone book haimaniishi hautalala njaa Epl, mapenzi masomo mambo imechemka hakuna masaa Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa masaa ni mbaya Babrican babrican number twenty eight I went for a walk nikapata jane Mary jane my love my dear nakupenda Ntakusmoke kwanza na hii weather Xoxo humaanisha nini Bibi ya benso ye hunitakia nini Huku tuko north pole kwani hutuamini Kako na dimples na ka hupenda mini Idi Amin Dadaa twende za chini za down Nakata mkatabaa Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa masaa ni mbaya Hakuna matime sai intro ya netflix Ndani nisha slide aaii dakika mbili Pouring ya sai sai hakuna time Hii pochi ina carry malii naam Hauna pesa na unaenda round tisa unawaste pochi Mwanaume umekaliwa kushinda kochi Ameshika goti sana kushinda noti Ako forty akiwa na pesa anakaa twenty Alcohol ilifanya ukatekana huko kwa choo Deal moja mbili tatu tukapiga before Ona vile pouring sai imekucost Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa masaa ni mbaya Aah aah denge alituma fare 2k niende kwake Nimkate anashangaa mbona mii sifiki Denge shauri yake vako zake ana please call me tenje mii si shiiki Mi sidai nyakee ka si packee dont disturb mee nyauu mi siitiishi Na nyake imeiva but ikifika area jiko kumejaa wapishii Mtaa mamorio wako busy Madiva wa miaka chipukizi chizi Nikiroast ndizi ni mchuzi Mchezo mixing kando na biz Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa hakuna matime Hakuna masaa masaa ni mbaya (Outro) Mgeni ako kwenyu anachezesha mtoto si ati anapenda ako njaa Uko daro na umepigwa na kinenge unashindwa uskize lec ama njaa
Writer(s): Francis Ndereba Macharia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out