Lyrics

Yeah Niko hapa kuwapa muziki mzuri Wako hapa tu kuwa famous Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, Basi wanajiita lyricists kwa hizi interviews Na mimi tu ndio nimetoa lyric video Ika hit a million views, how? (Yeah) Ni Shinki (Yeah, Cedo, yeah) Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire Secular lakini unaandika gospel fire Si-live a lie Najua nta-sound kama niko ma drei But juzi walai Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai True story! Klepto si mtarudiana lakini Hatujai achana tunaruadiana kwa nini Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili Tutazidi sana kando na kukosana niamini Tusipimane akili mi 'na kichaa Waambie waache kujichokesha ulimi Mi ndo teacher Enyewe manze wataacha lini kujichocha Juu ni clear, tukisimama Hao na mimi mi ndio mnaprefer Aminia Oh, na-na-na-na-na Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu Au nikitoka niachange kwa keja tu Najua ikilia ni mtu anataka favour tu Kila converstation ni ka Deja Vu Maisha imejaa na watu fake si uongo Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo Washa sense ntakafunga so wananyemelea Siezi afford kumwaga unga najitegemea Sieki imani kwa binadamu mimi Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi Ah, ka s'kupendi s'kufichi No pretending hata simu zenu mi sishiki N'kuwe pissed kwa nini Siko pissed, niamini mi niko bien Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia Maybe tu argue beats au beer Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi Aminia Oh, na-na-na-na-na Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Oh, na-na-na-na-na, eh Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza Sijieki na Don Larry ama Martin Luther Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi Nikianza hii kitu ni watu wa few waliamini Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Hii ni ya kila mtu nishauliza ka anapenda rap Akaniambia ako 50-50, yeah Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki But, ameambiwa ati mziki hailipi Kukopa juu ni passion basi kazi hata Ka we ni rapper ati juu ni fashion Hatukutaki hapa Hii ni ya msanii hulalanga nje na guitar Anaimba for free, saa hii Na ataendelea hata ka anajua ata hajalipwa Yeah! Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream Siku moja joh niwewe wataita King Jione umepanda stage na umeshika Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia S'choki, s'choki, s'choki Style mingi kushinda menu ya kinyozi (Aminia) Naeza fly wengine hawatoshi (Aminia) Aminia, aminia, aminia (Aminia) Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia Aminia
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out