Lyrics

Cali... California California vitu mzuri tunaendelea mbele Hakuna cha huzuni hapa furaha ni tele Kwa wale wamesahau mziki yangu bado ni genge Kwa wale wanatudharau tafadhali msifanye ni cheke Sitawadanganya jamaa nimerudi studio leo na naskia poa Na najua mnapenda kuskia sauti yangu Kwa hivyo ngoma poa tu ndio ntazidi kutoa Unatulia nini bana amka tuzitoke Unapanguza nini bana wacha jasho imwagike kwote Ata ka kuna ukame tunajituliza na maji baridi Clemo roundi hii ameniambia niwakute na ngoma mbili mbili Ah morale morale wacha iwabambe Na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nimeacha watu wengi sana wakule roundi hii niachieni pia me ninone Safari yangu ningepeleka mbio lakini nimeamua kuenda pole pole Usifikirie nimechoka niko na nguvu ka zile ngombe nyiuona mtaani Sitachoka kutafuta majani Sitachoka kuendelea na safari Wacha mguu zangu zitembee Wasanii wote wa nguvu wapepee Kimaisha na kila kitu wanafanya Ni bidii na utafika pali unataka Ata nikigonga soo bado mziki zangu sitaacha kusambaza Nimeamka chali yangu na sioni tena ka jalala Weka mattress kando tunaenda kazi Weka stress kando mambo ikue safi Morale morale watu wang'are Morale watu watambe Na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka National Anthem Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Bidii yangu imelazimisha watu wengi sana waruke Asali bado nawapatia ntaiongeza sukari utamu isishuke Nikipanda tafanya vile roho yangu inataka Sitapotea tena ata nikiona wengine wakitukacha Pilipili niaje siukuje unisaidie kuakamata Lakini sijui itakua aje tukiwaroga sana Sijui watajisaidia aje tukiwabonda sana Tutawafundisha kupumzisha nyundo na bado waeze ku-flexx mkono vizuri Kuingia gym kupanua kifua kiasi na kupumua vizuri Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka Nataka tu heshima yako Nataka tu furaha yako Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out