Lyrics

Genge jo inanibamba mbaya Yani hii mziki yani Nikiiskia yani mi huskia sijui aje Nika nipige nduru Watu! Mnajua niaje Kitu yoyote ntawaambia leo Mtanijibu tu Maisha yangu tamu siku inanirarukia mbaya lakini nimeamua kuituliza Kabla pombe iniue itabidi nimeiwacha kabisa ama nianze kuikunywa Ona vile nywele zangu zimerefuka mpaka watu wananiambia zipunguze Walikua wanafkiria nimeacha ngoma Sababu nimepotea ngoma ni mingi ngoma si Na zote ziko poa ka mchele imeekewa mnazi ama imegusiwa Ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike Na ka inakushika si uongeze sauti tenje Chukua chali yako chukua manzi yako mweke karibu zitoke nae Leo ata staki utupe mkono juu me nitingishie tu kichwa yako Staki ukatike sana mpaka uvunje mguu we nisaidie tu kuimba Hawa watu jana walinishika ikabidi nimewaachia yao Beste yangu akaanza kubishana nao akanyamazishwa na ma mbao Eeeh! chali yangu haujawai skia maneno ya hawa watu hawana huruma ata Juzi gari ya mafuta ikaanguka si waliangalia watu wakiiva Nyama choma kila mahali kachumbari poa lakini iongeze kitungu Wale wameponea wapeleke hosi watatibiwa na madaktari Hao wengine hawakuja job wanasema leo wajamaliziwa ile ganji yao Eeeh! uspotibiwa sai utaona tu maisha yako ikikuacha Lakini usiwe na wasiwasi itarudi tu Baada ya ma dakika baada ya ma dakika Ebu niambie hio pande ingine ni ku poa ama ni kubaya hivi Kumetulia ama watu wanaungua ama watu wanaiva hivi Naskia raha wasee wamechanuka siku hizi ngoma mbaya haziskizwi ata Pia naskia raha unaeza chinjia manzi siku hizi ata ka ni mzee wako Kabla niende kumwona lazima nipige nguo pasi nijipake mafuta Niakikishe ngotha safi na ka si mathao mfukoni nikue na ganji ata Leo lazima nijue ka ananipenda sana ama labda ananichukia Lazima nijue ka tazamisha yote ama taiekelea Akikata naachana nae naenda kutafuta mwengine msupa tu Na najua tapata Kiswahili yangu ni mambo yote hapa hakuna cha kugeiwa After hio tunakuta vitu kuta vitu mchana tunatulia
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out