Lyrics

Aaaaah aaaaah aaaaaaah aaaaaaah Aaaaah aaaaah aaaaaaah aaaaaaah Oo-oh mama, panguza chozi Siyatafakari vita vya juzi Si kupenda kwangu kukuudhi Ila tu ujana haubagui Dada panguza chozi Sijitie lawama kwa uzushi Kwani vita kati ya mandugu Si ya firauni Wakati hauniruhusu mi Kurekebisha yangu madhambi Kwa hivyo nawaomba siku hiio Nikumbukie mazuri Mi nataka mucheke siku ya mwisho Siwe mpweke mi bado niko Namshukuru Mola kwa kuwepo Nasema Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina AminaA... A .Amina Amina Amina Ooh mpenzi panguza chozi Sijijaze chuki wewe moyoni Hasira hasara Yote ya mwenyezi Oh rafiki panguza chozi Sijiumize we kichwa na maswali Utansamehe sana kwenda Bila mkono wa buriaani Wakati hauniruhusu mi Kurekebisha yangu madhambi Kwa hivyo nawaomba siku hii Nikumbukie mazuri Mi nataka mucheke siku ya mwisho Siwe mpweke mi bado niko Namshukuru Mola kwa kuwepo Nasema Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina Ooh sina sina sina sina Nafasi nyingine Ya kuwa na wewe Nasikitika mi naumia Lakini nina nina nina nina Shukrani moyoni Yakuwa miongoni Mwa walo nienzi mi Wakati hauniruhusu mi Kurekebisha yangu madhambi Kwa hivyo nawaomba siku hii Nikumbukie mazuri Mi nataka mucheke siku ya mwisho Siwe mpweke mi bado niko Namshukuru Mola kwa kuwepo Nasema Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina A... A .Amina Amina Amina Aaaaah aaaaah aaaaaaah aaaaaaah Aaaaah aaaaah aaaaaaah aaaaaaah
Writer(s): Natasha Sanaipei Tande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out