Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee... Pesa zasumbua Roho yangu Pesa zasumbua Roho yangu Ningekuoa dada Ningekuoa mama Nashindwa na mali sina weeh Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina weeh Ningekuoa malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee... Wimbo wee wimbo wee...
Writer(s): Traditional, Guenther Widemair Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out