Music Video

LADY ISA ( Dunia ina mambo)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lady Issa
Lady Issa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
4 Zairean Female Stars
Songwriter

Lyrics

Sakana Mama, Keba na la vie Basala Kala Basuka na finale Sakana Mama, Keba na la vie Basala Kala Basuka na finale Oooh Mwanangu Dunia ina mambo Sikia maneno nakuambiaga Mpe Roho yakoo Mola wako Heshima kwa wazazi eeh mwanangu Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Chunga mwenzio atakudanganya Kwa yoyote ile atapenda yeye Kipenda rohoo Kila mtu na yake Yake ni yake na yako ni yakoo Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Mwendo wa kobee Mayelemayele Mwendo wa chui Kuwindawinda Mwendo wa nyoka Lukumbalukumba Mwendo wa ngalama Kwa njia ya paradii Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Taabu na raha ina kungojea Inategemea akili yako Tafuta eeh... Utapata eeh Kumbuka maneno nakuambiaga Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Chunga mwenzio atakudanganya Kwa yoyote ile atapenda yeye Kipenda Roho Kila mtu na yake Yake ni yake na yako ni yakoo Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Taabu na raha ina kungojea Inategemea akili yako Tafuta eeh... Utapata eeh Kumbuka maneno nakuambiaga Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Dunia hii mama Lukumba lukumba Dunia ina mambo Mwendo wa ngamia Sakana Mama, Keba na la vie Basala Kala Basuka na finale Sakana Mama, Keba na la vie Basala Kala Basuka na finale
Writer(s): Steffen Aaskoven, Marc George Andersen, Klaus Bau, Salvatore Embalo Tchando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out