Lyrics

Siku moja nilikuwa na shida fulani Nikaona niombe usaidizi Kwa bosi fulani rafiki yangu Tumejuana naye kwa muda mrefu Simu yake ilikuwa iko mteja Kwa hivyo nikaenda kwa ofisi yake Nikaambiwa nitoe kitambulisho Na nikaangaliwa kama niko na bomu Wakaniuliza kama nina appointment Nikasema sina huyo ni rafiki yangu So wakasema " No, huwezi ona bosi" " Ni lazima, ni lazima uwe na appointment" Asante Baba, I like your office Hakuna appointment nahitaji (repeat) So any day, anytime, anywhere I go I just knock, knock, knock. Naingia Kwa ofisi yako, hakuna masoja Hata sekretari pia hakunanga Hakunanga diary ati lazima tupange Any day, any time is a meeting time Kwa hivyo, nikiwa na shida Siwezi ngoja nipate appointment (repeat) () So any day, anytime, anywhere I go I just knock, knock, knock. Naingia
Writer(s): James Ngaita Ngigi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out