Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kidum
Kidum
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum
Kidum
Songwriter
RR
RR
Songwriter

Lyrics

itakua vipi mumy kuwa na wapenzi wawili mbona umenivunja mwenzio nateseka karibu niseme kifo umeniacha na vidonda visivyo na tibaaaaaa kwanini hivyo mpenzi nilikuamini na kukuthamini kukupa penzi langu bila ya kujali chochote sikuamini usoni wangu kuhusu penzi kivuli kwa nyuma ya mgongo wangu yaani weye umenitendaaaa tazama nakondaaa kwa sababu umeniweka kwa shida na tabu nimeamua kutopenda tena (kutopenda tena mamy) kila nikipenda mwishowe naumia umenikosea wewe... umenikosea... umenikosea wewe ...umenikosea (yeba) verse 2. kumbuka hapo mwanzoni tukipenda kwa dhati (na weweee) umekumbwa na tabu gani kutamani mwingineeeee nilifanya kosa ganiiii umenifanya kichwa kuruka sielewi kwanini kwasababu nilikupenda kumbe we hujanipenda nilipoteza muda na sasa ninajuta yoooo unapenda mwingineee mimi umenitumiaaaa umevunja roho yanguu ikapasuka umenitenda yooo tazama nakonda ooooh kwasababu umeniweka kwa shida na tabu uuuuuh uuuuuuuh nimeamua kutopenda tenaaaaaaa (kutopenda tena mamy oooh) kila nikipenda mwishowe naumiaaaa umenikoseaa wewe...(mwishowe yoo) umenikoseaaa umenikosea wewe umenikoseaaaa (yebaa) ×2
Writer(s): Nimbona ''kidum'' Jean-pierre Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out