Music Video

Kidum - Number Moja (Final Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Songwriter

Lyrics

Namba moja yesu eh... Asante bwana oh, Namba moja... uuhh Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja, moja moja moja Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja moja moja moja Nimeshatembea nimeshazunguka Kila pahali nikifika kila kona Nimejaribu kutafuta Kinachoweza kuridhisha moyo wangu Nikatangatanga mashariki na kusini Ili mradi nitafute Nikamanga manga magharibi kaskazini Kupata kile ninachotaka... wimbo Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja moja moja moja Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja moja moja moja Juhudi zangu zote zilipogonga mwamba Nikafa moyo nikakataa tamaa Ndiyo bwana akataka nigusa Nikasimama nikaanza kutembea Asante Bwana Mwokozi wangu Nimetambua kama nimekupata Pewa wimbo pewa sifa Asante Yesu Nimeshatembea nimeshazunguka Kila pahali nikifika kila kona Nimetambua nimekupata Bwana Yesu Mwokozi wangu Nafasi yote moyoni Nimeshaipa kwa yesu Ni namba moja moja moja moja...(Repeat)
Writer(s): Jean-pierre Nimbona, Philip Kioko Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out