Texty

Ah Nakumbuka aliniambia akiniona mimi anaona upendo Anaona nchi ya ahadi anaona pepo Anaona future ya maisha anaona lengo Akiniangalia anaona kesho, n'kashangaa sana She had her game tight Kwani licha ya aibu, alionyesha feeling that she can't fight Alikuwa tayari hata kunipa game night Akiuliza "don't you believe love in a first sight Nikamwambia "mbona una kasi ya jini? Akacheka, akasema "brother wasi wa nini?" Akideka "We ni handsome, na pia ni mpole Mchizi ka' wewe unahitaj manzi ka' mimi" nikawaza Alikuwa ana 'summer body times two Mi' machoni nilimtamani ila ni nafsi tu Ndo' inagoma akanishika sikio akanong'ona Kwa mahaba akisema "dude i love you And then she called me names, mara 'Babes Mara 'Boo boo Akipitisha nails kwenye chuchu ah Hata waungwana kwenye meza ya pembeni wakashangaa Wakauliza "damn bro una juju Akataka anibusu n'kakataa kimtindo akanuna Akala mingo akanibusu kwenye shingo n'kaguna Akauliza "we umeoa?" Nikasema "No "Kwanini hunipendi!!?" Nikasema "dada nakuonea huruma Akahamaki "huruma ya nini boy!? Una vibinti bar Achana navyo ili niku-treat kama minister Hivi jinsi navyokupenda hauhisi raha Kwanini usikubali tuwe wote what's so difficult "Unaonyesha walakini unan'shangaza Au pengine una ukimwi unaogopa kuusambaza Nikamwambia "sikia, najua kunielewa sio simple Mi' nachinja watu nauza moyo na figo Akacheka kwa mashauzi ya 'kinafki' 'nafki Ilikuwa ni wazi ali-doubt doubt Akasema "labda bro' hauna kazi Hiyo mioyo na figo ukichinja unauza wapi Nikamwambia "calls nyingi zinaingia Kila pande za nchi hizi pieces wanazivia Mtandao unakua kila pande za jiji napopitia Na-expand treats mpaka India Akacheka sana, mpaka akaniegemea Wakati peke yangu kichwani najisemea "Dada angejua kitachokwenda kumtokea Angebeba pochi yake angetembea, angekwenda mbali Nikamwambia "nenda nyumbani usigeuke nyuma Kalale kesho nenda ibadani katoe ushuhuda Nakupa nafasi ya kuishi ipokee uujuze umma Kaandike kumbukumbu kuwa umenusurika kufa Akasema "sio mbaya nzi kufia kwenye kidonda Usiniache mimi maana nahofia kukonda Nakupenda sana please niweke moyoni hapo Ukiwa muuaji n'tafurahi kufa mikononi mwako Hakutaka kusikia mambo mengi Kama bidhaa ameshailipia na sasa anasubiria "change Kwa lugha ya nje ya dunia macho sexy Akanikaribia kisha akani-kiss passionately, ah "Do you have a car or some' brother Translation akiuliza ka' n'na gari labda Nilipomwambia mi' muuaji aligoma Akaniambia twende home kisha akanidandia kifuani ghafla Ile nafsi bado inanikemea Najikuta peke yangu kichwani najisemea "Binti angejua kitachokwenda kumtokea Angebeba pochi yake angetembea angekwenda mbali Kivivu tukazama kwenye Harrier Safari kwenda home bila barrier Baada ya nusu nikampa mvinyo wa baridi wa kiitalia Na ndani yake nikaweka Valium Akapiga fundo kisha akaweka glasi mezani Akatabasamu akasogea hadi jirani Akaweka mkono wake begani Kisha kiudadisi akaniuliza honey hujaniambia Unafanya kazi gani Nikamuonyesha picha za mademu kama mia Niliowachora akasema "baby we' ni genius Nikamwambia "niliowachora nishawachinja you're the next one" akasema "Baby haupo serious Aliniimbia wimbo maneno yakikata kinywani Ishara ya kwamba kimtindo dawa imeshapanda kichwani Nikambeba kisha nikampeleka mpaka chumbani Hakukuwa na kitanda zaidi ya meza nikamlaza mezani Nikamchora, nikimtizama mwili wake wa mvuto Huki nikiwaza "unapopenda ukubali majuto Nikampiga busu zito kwenye paji la uso Kisha nikatoa visu vikali na nyundo
Writer(s): Edger Vicent Mwaipeta Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out