Lyrics

Ndiwe eh eh Ndiwe mungu wangu Ndiweee Ndiwe wewe mungu wangu Nakupenda sana Ndiwe wewe mungu wangu Peke yako Ndiwe mungu wangu Ndiwe eh eh Ndiwe mungu wangu Ndiwe eh eh Nakupenda sana Ndiwe mungu wangu Ndiwe eh eh Najua iko miungu mingi Tena inasifa nyingi Abuduo sanamu Hawanishii Wengine mna mali nyingi Tatizo mashariti mengi Ila kwa mungu wangu Yaani ni amani Niwapo mnyonge ananitia nguvu huyu Niwapo zaifu Atii nataka na kumwaga machozi ya furaha nikitazama zaidi yako hakuna nabaki nikilia niwe we Rpt corus Usipo enda na mimi Nitauwawa kule fanyika mwamba Nilinde kwa maisha yangu eh Nimeumbwa na wewe umwnipa akili Nimeumbwa na wewe pumzi ya uhai wako bure Ajari nyingi tumezika wengi jamani Maginjwa mengi walikufa wengi si haba Ila unenilinda ona umenitunza Ona unenilinda nakupenda bure bure Ah bure bure ah bure ah bure Rpt corus Mungu wa majeshi alfa na omega (End)
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out