Lyrics

Eyooo laizeer Wasafi records Nikutume wapi sasa njiwa uende unitafutie kipenda roho Yuuh wap kama unanisikia fanya unisaidie usichikoe ooh Tumia wako ujasiri na machachari Chumvi sukari niwekeeeee Nenda na ufike mbali Ukipata hodari usisubiri nileteee Ila sitaki kunguru mimi eeeh Hakai bandani Kutwa kuzurura mitaaani kula mifupa Asiyejua penzi nini wala shukurani Chochote anakula ata kile kinachonuka Akanifanya nikawaaaa Teja wa mapenzi Nikawa mimi Teja wa mapenzi Akili ikasinizia eeh Teja wa mapenzi Ohhh masikini Teja wa mapenzi Moyoni ntaumia eeh Mama alisema penzi sherehe Sio mabomu ya machozi kutwa kulizana Au ujana ukiendekeza starehe Yule mwenye je mapenzi utamuona hana maana Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga Tuishi kama vitani kushikiana mapanga Mapenzi jamani huyapati kwa waganga Nishapiga sana tunguri nikashia kutanga tanga Ndo maaanaaa Sitaki kunguru mimi ehhh Hakai bandani Kutwa kuzurura mitaaani kula mifupa Asiyejua penzi nini wala shukurani Chochote anakula ata kile kinachonuka Akanifanya nikawaaaa Teja wa mapenzi Nikawa mimi Teja wa mapenzi Akili ikasinizia ehh Teja wa mapenzi Ohhh masikini Teja wa mapenzi Moyoni ntaumia ehhh Na moyo akautia panchaaa Pancha pancha eeeh panchaa Akautoboa Pancha pancha eeeh panchaa Kila kona akaweka viraka Pancha pancha eeeh panchaa Ona onanaaaaaaaaonaaaaaaaa Pancha pancha eeeh panchaa Badala ya nazi nikapewa kidaka Pancha pancha eeeh panchaa Aaaaaah aaaaah Pancha pancha eeeh panchaa Wasafiiiiii
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out