Lyrics

Oooh oooh yeah Yeah yeah STILL ALIVE. Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu uuuh Jinsi ya kumtendea aaah mwanadamu Basi mimi nisingekuwa, jinsi nilivyo Hata tena nisingekuwa, mahali nilipo Ungeambiwa sifai, uanze kukanya vikali Ungekumbushwa ndambi zangu za kale, baba yoyo Unabariki unayependa aaah, Unabariki unavyopenda aaah Mimi, nahitaji eeeh Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Ninataka ndio oo yako Yesu tu Ndio yako ndio itanisimamisha aaah Ndio yako itanifungulia milango oooh Hakuna sikio lenye funiko jamani Wala sijaona jicho, lenye pazia aaah Adui zako wangelikuwa na uwezo ooo Wangefumba macho, wangefunika masikio ooo Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa eeee Meza utandaliwa mbele yao oooh Utakunywa utakula mbele yao oooh Nasema ndio, ndio ya bwana aaah aah Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Ninataka ndio oo yako Yesu tu Ndio yako ndio itanisimamisha aaah Ndio yako itanifungulia milango oooh Ndioo yakoo, ndioo yakoo Yesu usiposema ndio, imani yangu akili zangu hazitaweza Wanasema, sema ndio yatosha eeeh Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Nahitaji ndio oo yako Yesu tu Ninataka ndio oo yako Yesu tu Ndio yako ndio itanisimamisha aaah Ndio yako itanifungulia milango oooh Ndio yako ndio itanisimamisha aaah Ndio yako itanifungulia milango oooh Ndio yako ndio itanisimamisha aaah Ndio yako itanifungulia milango oooh Ooooh ndio yako ooh Ooooh ndio yako ooh Ooooh ndio yako ooh Ooooh ndio yako ooh Utanifungulia mlango, Masiya aah
Writer(s): Gloria Muliro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out