Lyrics

Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu' Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu Naishi ninajua Nipo hapa kwa muda Makao ya milele Ni binguni kwa baba Magumu yanipatayo Yote ni ya kitambo Nyumbani kwa baba Kule hakuna taabu Yeye si mwanadamu Hatasema uwongo Akisema mwokozi Ni nani atapinga Ingawa dhiki ipo Moyoni sitahofu Ameenda kuandaa Anarudi kunitwaa Nitaubeba msalaba Hata kama ni kwa shinda Ninajua Yesu wangu Anarudi kunitwa Kasema asiye na shaka Huyo atamuona Sina shaka na baba Yuaja kunitwaa Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu 'kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu 'kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu Asema hatamuacha wake Daima Mimi nipo na baba Sitaachwa Yote ya dunia Yanapita Makao ya baba Yadumu daima Ninajiweka tayari Kumgonja Atakaporudi baba Atanitwaa Sitahofu nikipita Katikati ya mateso Nimewekewa taji Ya ushindi mbinguni Mimi ni wa thamani Mbele zake baba Hawezi kuniacha Yupo nami daima Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni Kwa baba juu Baba, mama, kaka, dada Wote twendeni Tukazeni mwendo wote Tukafike Anakuja baba Na ujira Wote twendeni Tukamuone kwa uso Aliupenda ulimwengu Anarudi Wote twendeni Tukamuone Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu Mimi ni mpitaji katika dunia Makao yangu ni kwa baba juu Baba yangu kaniandalia makao Alipo yeye nami ndipo niwepo Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu Kwangu mimi ni kwa baba juu
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out