Lyrics

Yow, yow Ooh na na na, mm Sometimes what you doing Can be deceiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving Ghetto sikua na umeme wala cable Ni jeans moja t-shirt na yebo Eti Leo namiliko lebo (Lebo konde gang lebo) Sikuzote kisichokuua kitakufanya uwe ngangari Hata muwanga huwezi kumjua so uishi nao kwa tahadhari My sister siku hizi shepu wananunua we pambana upate salary Na usisahau pesa maua so ukikosa hata usijali One love Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD Two love Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii Three love Kwa Masta na Rita mlinifanya hasira zizidi Four love Ya ngumu nilizopita, mkanipa na jina mkasema niitwe, Jeshi Konde boy Jeshi Tena sikuhizi wananiita Tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi Konde boy Jeshi Yani wanangu wananiita Temboo Jeshi (no no no no) Hata we ni Jeshi Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi One love Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD Two love Kwa wanafiki kwa Insta mnafanya niongeze bidii Ninaamini Mungu yupo tena naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka nitainuka tena so usishangae why tembo ana hustle peke yake 'Cause I know Unapookota ndio wakati wa kutunza ili kesho kisije potea Na unaposota ndio wakati wa kujifunza ni wapi ulipokosea Sio kama siwezi kujibizana ila mwenzenu nimeumbwa na sub'ra Cheki madili yanavyogongana 'Cause nyota yangu ni Libra Mbona siwaoni, waliotumwa kunitukana Vichwa vyao viko kibla Tena sikuhizi hata siimbi sana Acha washindane na Ibra I say one love Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD Two love Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii Three love Kwa Masta na Rita, mlifanya hasira zizidi Four love Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi Konde boy Jeshi Tena siku hizi wananiita Tembo, Jeshi Hata we ni Jeshi Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi Konde boy Jeshi Yani wanangu wananiita Tembo, Jeshi Hata we ni Jeshi Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi One love Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mnanunua CD Two love Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii Konde Boy
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out