Lyrics

Yeah! Mmh mmh mmh mh Yeah (Ayo lizer) Kila chenye marefu na mapana Huwaga hakikosi mwisho (oh mwisho) Mmh! Yanini kurumbana Kukicha bila suluhisho (oh ooh) Huenda kisicho ridhiki hakiliki Sasa yanini tutoane roho Nimepungukiwa kipi mbona naishi Sina ata jiba la roho (ooh) Na ule utwana wa mapenzi Kushindana mi na wewe Niliuvumilia na sijaona tama Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe Ila hii dunia na najichunga sanaal Tena naandika huu wimbo Usijpe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo Ukome kunifatilia Naandika huu wimbo Usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo Ukome kunilili (eeh) Nishachoka Nishachoka Nishachoka Wacha ukweli nikwambie Yani kukicha vijembe (nishachoka) Dharau maneno (nishachoka) Ooh! Masimango (nishachoka) Wacha ukweli nikwambie (nimechoshwa nawe) Mmmh Aiih! Kila donda lina historia Badala ya moto majivu Mangapi niliyavumilia Hadi nkakonda kwa wivu Kidogo cha jasho langu Ulikidharau nakukinyanyasa Utu thamani yangu Ukasahau kisa anasa Afadhali mimi nishakuzoea Dharau mama yangu hajakukosea Huwaga navuta taswira Ule utumwa wa penzi lako Mpaka najiona taira Kuyahifadhi mabaya yako Muchimjinga pedi Namatilapa nikapendwa Upepo kwenye begi Au maji ndani ya tenga Tena naandika huu wimbo Usijipe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo Ukome kunifatilia Naandika huu wimbo Usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo Ukome kunilili (eeh) Iye iyeee nimechoshwa nawe (minishachoka) Nishachoka (siwezi) Nishachoka (ooh siwezi) Wacha ukweli nikwambie (acha nikueleze) Kukicha vijembe (nishachoka) Dharau maneno (nishachoka) (nikueleze) Ooh! Masimango (nishachoka) (nikueleze) Wacha ukweli nikwambie (nimechoka nawe) Woo oh uwoo wo oh wooh Woo oh uwoo wo oh wooh Nimechoka nawe Nasda, wasafi record's
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out