Lyrics

Chocolate kalambaje? Na hata sielewi kanipata pata Kwani kanipata aje? Ameniweza weza nimenata nata Kwa jinsi nakupenda na nnashindwa kukukataa Ndo ujinga huo Umeniweza weza, umenipa limbwata Ndo nini hivyo Ukinipaga penzi basi pia zima data Ndo chips hizo Na vinyama nyama pilipili washa Ndo tamu hivo Baby walahi Do me, do me, do me Do me, do me, do me Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (Do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (do me aii) Nafikiri uliumbwa kwa ajili yangu mahususi Na kila nikikutazama nafaa nifikirie harusi Nafikiri kutumia shela, nafikiri kuhusu suti Sifikirii kutumia kinga, hata waseme una virusi Viuno vingi kama Christian Bella Peace ya msela African princess na ndela Tutawaarika na mapunga waje kula mchele Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwenda sio Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwenda sio Vile kata, kata ukapinda mgongo Uliposema tangu ukawachanganya wabongo Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mkongo Labda arushe matofali maana nishazoea madongo (Do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (do me aii) (True tell me ma, true tell me ma) (Navurugwa eh, navurugwa eh) (True tell me ma, true tell me ma) (Navurugwa eh, navurugwa eh) (Do me aii) (Do me aii) (Do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Do me, do me, do me (do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (do me aii) (True tell me ma, true tell me ma) (Navurugwa eh, navurugwa eh) (True tell me ma, true tell me ma) (Navurugwa eh, navurugwa eh)
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out