Lyrics

Yogo on the beats (The African Princess) Shii! Akichekecha nacheketua naye Bandua bwesa ninakesha naye Bingwa wa mitindo sio foreigner Dereva sio learner Inashika antenna oyee Ashanasa ulimbo, ulimbo Sibanduki ng'o Mi naye ngoma draw oyee Nakesha lindo, lindo Macho kwenye show Kuchakachua no, oyee Kaninogea (ooh inama inama) Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama) Akipiga kick inatembea (ooh inama inama) Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama) Akipiga kick! Napunga kipupwe Copa Cabana Nauminilevya kama banana Nikiguza kitufe mambo mwanana Ulipopita we mbali we umeshona Mtoto baiko baikoko Kibao kata kanga moko Chikigiriki kimoko Nachora eeeh Nimeshanasa ulimbo, ulimbo Sibanduki ng'o Mi naye ngoma draw oyee Nakesha lindo, lindo Macho kwenye show Kuchakachua no, oyee Kaninogea (ooh inama inama) Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama) Akipiga kick inatembea (ooh inama inama) Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama) Akipiga kick (na nusu) Na nusu Na nusu
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out