Lyrics

Siku moja moja Ukipata nafasi tukumbukane Nitalipa bodaboda Acha na mwendo kasi usijibanebane Aha, ewe binti maringo Sijui wanisikia Pendo lako nicheze bingo Huenda nikajishindia Mwenzako bado niko single Pendo limenichachia(Aaah) Uwe suka niwe tingo Niyoyoe abiria Nafsi unainyong'onyeza(Aaah) Nahisi la moyo shambulio(Aaah) Nifanye chipsi chombeza(Aaah) Japo unionje onje mwenzio(Aaah) Penzi linanilegeza Sonona, sonona Eti lini utapata nafasi? Sonona, sonona Oooh beiby yoyo, nambie basi Sonona, sonona Nafsi nyonge, naishi kwa wasi wasi Sonona, sonona Beba wangu moyo, mwepesi ka karatasi Sonona, sonona Mwaga wino Wa kalamu ya penzi langu Chimba shimo Unizike kabla ya siku yangu Hakuna asiyejua Matatizo ya moyo ukipenda Unanifanya mwanasesere Kunichezesha Mi muoga macho usoni Nisijeshikwa na kwikwi kimasihara Sema niandae vipopconi Unyonye na vipipi vya duara Nafsi unainyong'onyeza(Aaah) Nahisi la moyo shambulio(Aaah) Nifanye chipsi chombeza(Aaah) Japo unionje onje mwenzio(Aaah) Penzi linanilegeza Sonona, sonona Eti lini utapata nafasi? Sonona, sonona Oooh beiby yoyo, nambie basi Sonona, sonona Nafsi nyonge, naishi kwa wasi wasi Sonona, sonona Beba wangu moyo, mwepesi ka karatasi Sonona, sonona Uje(Uje) Uje beiby(Uje) Uje Mombasa wakuone Uje(Uje) Uje darling(Uje) Uje Nairobi wakuone Uje(Uje)Uje beiby(Uje) Uje Dar es Salaam wakuone Uje, uje beiby 001 akuone MoccoGenius!
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Mbwana Yusuph Kilungi, Venance Conrald Bedder Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out