Music Video

Diamond Platnumz - Moyo Wangu (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Lamar
Lamar
Producer

Lyrics

Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama Tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa Na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie Ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka Kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Writer(s): Clai Map Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out