Lyrics

Wizi imekua legal na bado wanajiona ronald reagan Ati unaeza macho cigar lakini usimarwe na ki ingwa Tuko ching don na clique tumetoka kunyweta pima Ka una point tuma pin tutakutokea na pinpoint kwa marima Seaboat tuliskia three shots maidhaa ya magizan around saa tisa Big coat ndio niweze jificha incase kwa rodi kuna mbaru inapita Mamu usismame kwa speaker hivyo ndo si hujua zako zimeshika Hata step dunda kwa pickup hesabu ulipiga ni ka hazikufika Ningejoin nacada kufight hii shit lakini bado ningekua pande ya weed Wanideport ka harun Aydin alafu wadai venye sina ID Biz ni ya nini kama haiingizi ganji adi siradi Come clean ukiingia westy lakini ukiwa D make sure umejipin Mi uhama na pedi spendi ile maidhaa napiga na hapick Mr masensi wikendi nyi mkiikata mi nko masplif Mweke kwa payslip msome na akicheza na ganji yako mkill Unatukujia uki creep na unakam kwa crib ona sa ulimadwa ukisteal Bro hakua na pen kwa penn so ilibidi amechora kwa ukuta Daniel kwa den na skeng naona kuna mtu mmoja atanyuria Mtoto peng lakini huezi amini vile anakula ki gunga Fist fight unakuja na kucha we ni mwere naona utanyuria Rizla na stula kwa dealer ooh my God naskia zimeisha Mzinka na unamkula kwani umekua ka kabi wa jesus Wadhii ndio unaeza nikuta nikichagua ma luku diriba Sewer ako piwa labda kwa Dau anachemsha birika Neighbour always atawapima juu ako kwa payroll yangu ma gizan Nmetoka kuanua ma timba na ata sjapay loan ya ma teacher Nadondokea masimba from 17 to 14 seater Kuondokea magirimba wamekua wakinifuata nyuma na dinga 2 Year old alipigwa kuni kama kisauni hii mtaa ina wahuni 1 Man sitembei na kikundi kama ni yako iwache itarudi Riomo alifinyiwa ngumi akararuka sahii amegeuka fundi Nataka Oscar ka sudi More Cash kam Joshua Kutunyi Phone snatch hapo street luthuli spoon fully Jeshi ya koto haitaki kuona ku-fuli Effect ya kua msoto but sazingine pia ni upuzi Stupid ali handover skuizi tunamuita he-ss-y
Writer(s): Salim Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out