Lyrics

Employee of the month Employee of the month Employee of the month Employee of the month Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Juzi juzi na si siri Tumeshinda movies ni ka tunaona series (ni ka tunaona series) Ndani ya Vitz wakiuliza Which activity mnado tunawaambia "Which activities" Akikusize ni usherati, sites za ngwati Size za mbati, salimu wanati Juu this time ka huradi utasanif tu mabati I'm chasing my goals Kaa hufiki bei you're breaking my balls I'm chasing my goals Kaa hufiki bei you're breaking my goals I'm chasing my goal Kaa hufiki bei you're breaking my balls I'm chasing my goal Na ka hii Kanairo huijuangi videep Huwa inakaa ni ka hujawai heartbreak-iwa vizuri Malindi-ndi dramatize hata kushinda mahindi mthii Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Mmh, mi ni Wangechi walai, nafanya shit yangu Napull up na mangwai kwa karai, nafanya shit yangu Niko nditni is, na si kwa mababii, nafanya shit yangu Wangechi, Wangechi, Wangechi wa manya, wangechi wa manyags Karao ukiniona furahi, ndo wife na mtoi wapate staftahi Walai, kesi baadaye Labda mi nikupe bars Ama imuje, imuje, imuje, imuje, imuje, imuje Ama imuje, imuje, imuje, imuje, imuje, imuje Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Nilishaamuaga sistruggle, hii mwaka mi nafanya shit yangu Ndugus anawakimbizaga mchana, mimi usiku ndio naingia shift yangu Wanajimix mimi ninakeep calm tu Uwaganis huwaga imekosa chanjo Baggy jeans para ni za kitambo Cannabis ka tumekosa mipango Size risky inatoshana na candle Nina discipline siezi cheza na cargo (what, what) Mrembo anafanya pesa nafumble Ikiisha wanasogea kando, he he Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Aftermath always huwaga hesabu Hawana mistari na tumejaza vitabu Mariba, tangu enzi za babu Mascandal za media ziliingiza Maribe kwa taabu Ka wanatuulizia we' waambie tunamuja Tuko mastula tushaorder Sambuca Unaeza ivuta si tuko maduyaa Piga scene dundaa tukitafuta mfupa Goals zangu haziniallow nyi' kufunga door ooh Nyi ni ma gatekeepers umbwa! Mi nafanya shit yangu, we' unakam kuniletea shida zako, joh Mi nafanya shit yangu, we unakam kuniletea shida zako Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu, nafanya shit yangu Nafanya shit yangu
Writer(s): Churchill Mandela Ogana, David Munga Ramadhan, Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out