Lyrics

Naitwa maangi Ona umenikaa kichwani ndoto zangu kuwa na wewe Au kwan uko nchi gani ama upo far away Au upo Puerto Rico china nambie nije ukoo mi Maana mi natangatangaa kipofu nisioona mwangaa Me simjui jina wala kabila ila nimezama Nishawahi kumuona ila kwa fikira uzuri wake hakuna kama ye Aaah ata nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready Na ningeijua namba ata ningekucheki basi Nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready Ningeijua namba yako ata ningekucheki nikupigie wewe Nikuone wewe Am waiting for you nakusubiriii Nikuone wewe Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu Nikuone wewe Maana macho yako kama una aibuu Nikuone wewe Achana na mikono tuangalie miguu Oh yeh ah olala Na ulivyo special na aka kamoyo nikupe chotechote Twende chuga uchagani ama unataka Dodoma twende kotee kotee Nikupeleke kwa mama angu na kifutacho ndoa tuoanee Na usitake ma drama ma kiki ya mitandao tuachane Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready Ningeijua namba yako ningekupigia wewe Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready Ata ningekucheki basi uje Nikuone wewe Am waiting for you nakusubri Nikuone wewe Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu Nikuone wewe Ata macho yako kama una aibuu Nikuone wewe Si tuangalie miguu Wanamuita maangi
Writer(s): Balthazar Romani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out