Music Video

Huu Mwaka - Dayoo X Rayvanny (Official Lyric Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Dayoo
Performer
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Mwakyusa
Raymond Mwakyusa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Mafeeling
Producer
Mlamon The Beats
Mlamon The Beats
Producer

Lyrics

Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Huu mwaka mtaniita boss Oya! Si eti eeh mmmh Oh no no no, ooh aah (Ma Feelings make It) Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Mtaniita boss Huu mwaka eeh Faida solosi Tushalala njia Huu mwaka Mwendo wa misosi Sisi Mungu Anatulinda Japo maadui wengi Wanatuwinda Vita nyingi, ila tutashinda Ushanyanya Sika huu mwaka mwendo wa wakuvimba Huu mwaka nanunua gari Niwape lifti Huu mwaka namaliza nyumba Yangu kibiti Huu mwaka wa machozi kwa Ex wangu alonisaliti Siku ya arusi yangu Msimpe hata juisi anikome Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Mtaniita boss Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona) Yale yaliopita yametokomaza Oya wanangu wa bodaboda (Eeh) Wa akina mama wauza mboga (Eeeh) Hata wachawi wabeba nyota Huu mwaka ni wetu Kama unadanga danga sana Ila usisahau kumake bwana Uje kujenga ka kibanda Nawe uwe na kwenu Na ukipata limama, eh likomoe Likupe pesa huu mwaka utoboe Oya usikae kizembe na usichague jembe Kama mkulima lima Kama unaimba imba utoboe Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh
Writer(s): Alvin Handro, Raymond Vanny, Dayoo D Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out