Lyrics

Sema mami natamani anga mara moja uamke nikuone Sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke Na ina ichoma moyo wangu Ina ikwaza nafsi yangu Mana sikupata mda mama yangu Ya kuomba msamaha wa kosa langu Sometimes najifunga chumbani mwenyewe Najiliza kama mtoto Je unejivunia mimi kua mwanako wewe Kwenye hii dunia changa moto Tena bado nazingatia mafunzo yako Busara heshima na upole Ingawa binadamu kazi I miss you Yani leo zaidi ya jana Hasa siku kama hii I miss you Na nimejifunga mengi sana toka uniage mama Mapenzi mwenyewe mama yako Mungu akupe radhi diama Kipenzi changing cha moyo Cha kukulipa sina Shukrani kwanza kwakunileta hii dunia Ungeweza kuitoa mimba yangu Ila ukachagua ni ishi mama Ninakuonaga unavyojinyima nipate Izo shida nazishuhuda Nasijawai kujutia kua mwanao mama Aaahh mama nataka ujue nashukuru I love you Yani leo zaidi ya jana I love you mama Na najitahidi sana nikupendeze mama yangu Na bado nazingatia mafunzo yako Busara heshima na upole Ingawa binadamu kazi
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out