Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Timothy Boikwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Still Alive Productions
Producer
TML
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nikiwa kwa matendo ya mwili
Ulinipenda hukunitupa
Nimekukosea mara nyingi
Ukanipenda na msamaha
[Verse 2]
Na bado nakushangaa hujanichoka hujanichoka
Nikitazama kwenye list mimi sikudhani ungenisamehe
Sikuwa na faida eeh, na dunia ilinikataa
Pengine wangeshanizika ila ukaniacha nisimulie wema wako wewe
[Chorus]
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
[Verse 3]
Wema wako na upole wako unanishangaza
Umenipa fursa na udhaifu wangu ukanitakasa
Unaniskia nikikulilia, badilisha nia sasa nakutumikia
Na nikipotea unanionesha njia nakuwa msumbufu ila unanivumilia we baba we
[Verse 4]
Kama ingekuwa binadamu angeubeba msalaba angeutupa chini tujitegemee
Mzigo wetu tujibebee, tujibebee we baba we
Kama ingekuwa binadamu angeubeba msalaba angeutupa chini tujitegemee
Mzigo wetu tujibebee, tujibebee eeh eeh ioi yeeh
[Chorus]
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
[Verse 5]
Nikiwa kwa matendo ya mwili
Ulinipenda hukunitupa
Yesu nimekukosea mara nyingi
Ukanipenda na msamaha
[Chorus]
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
Afadhali wewe tu
Afadhali Yesu
Written by: Goodluck Gozbert, Timothy Boikwa