Lyrics

Kwanza nimenyoa deni Napenda sana mitindo ya nywele Kuruka usiseme Viwanja vipya ninakaribishwa Kwenye kura saa za Insta nakesha Nikitafuta tena mabaya Nikisikia mabata nataka Nalitafuta tena nalipa Wala silipi maden, Nikikopa na beti Wala sionagi soni Fungu la kumi kwangu hio ni stori Nasubiri jumapili(Sunday) Hata najua sina imani, japo naitikia Amina Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Kuna venye hii movie inanichoma Hasa ile parapanda Ikipigwa wakizika Na appear, sirudii kosa Maneno yananichoma Binadamu ni maua Ikipita wiki moja masikini Nasahau kabisa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Nakupa maisha na moyo, utakase Ninapoanguka nishike nisimame Nakupa maisha na moyo, utakase Ninapoanguka nishike nisimame Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out