Credits
PERFORMING ARTISTS
BURUKLYN BOYZ
Performer
Mr Right
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mr Right
Songwriter
Jayson Okanda
Songwriter
Yassin issa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
MO7
Producer
Lyrics
Mabro ma G what's up? Huu mpoa hajui kutwerk, anajua ku arch her back
Number seven on the trap, tunafunga then we back mark, counter we attack
Tunafunga then we back mark, counter we attack
Mabro ma G what’s up? Huu mpoa hajui kutwerk, anajua ku arch her back
Number seven on the trap, tuna cork it, cork it, cork it, machine ina clap
Mic wangu ni kama rival, so si mu try machine ina clap, clap, clap
Zile zetu zikichezwa kwa system, head-to-head tunatetemeka
Soul shaker life sa' ni hard core hauwezi ni tema
Tano nane member in Muthurwa rudi kwa ngoke sell mateka
Deposit kwa ma star best rapper tuna meta, meta, meta, meta, meta
Ukitaka joh kubaki, man step on my Airforce one, usinitry that ain't true
Nilikuwa na ma nikey shoes, huu boy ana drill, huu boy ana drill, wana ni watch in 3D
Ka ile movie ya twenty, ka ile movie ya twenty four
Huu boy ni driller, na bars zina taste Vanilla
Achana na yeye wapoa ni wengi, si aliringa
Huu boy ni driller man, Huu boy ni driller
M-R-R-I-G-H-T best rappers si hukuaga ma killer
Simba, simba, simba, simba ka hakuna ni makofi spirit
Nimeshinda nikiroga usiku, so nilidoz kwa daro ya Physics
Wanauliza where you arch haujui? Buda nilikua kwa tizi
So ni one twenty five sling bling sio ma fiji
Simba, simba, simba, simba ka hakuna ni makofi spirit
Nimeshinda nikiroga usiku, so nilidoze kwa daro ya Physics
Wanauliza where you arch haujui? Buda nilikuanga tizi
So ni one twenty five sling bling sio ma fiji
Mabro ma G what's up? Huu mpoa hajui kutwerk
Anajua ku arch her back, number seven on the trap
Tunafunga then we back mark, counter we attack
Tunafunga then we back mark, counter we attack
Mabro ma G what's up? Huu mpoa hajui kutwerk
Anajua ku arch her back, number seven on the trap
Tuna cork it, cork it, cork it, machine ina clap
Mic wangu ni kama rival, so si mu try machine ina clap, clap, clap
Written by: Jayson Okanda, Mr Right, Yassin issa