Lyrics

Ooh, (Still Alive) Uuh La la la la la la la la Umeomba sana, aah Umehangaika sana Umengoja sana ila majibu huoni Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi, eeh Usife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh) Ana mpango mwema juu yako Usife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh) Ana mpango mwema juu yako Hakika mkono wa Bwana si mfupi Wala sikio lake si zito kusikia Mkono wa Bwana si mfupi Wala sikio lake si zito kusikia, aah Uh, yeah Ahadi zake ni kweli Njia zake sio kama mwanadamu Akili zake ziko juu (ziko juu) Atufikii, sisi wanadamu Tulia, aah Tulia na Baba Tusife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh) Ana mipango mema juu yetu (oh, uh) Tusife moyo Mungu hayuko busy, eh eeh Ana mipango mema juu yetu Hakika mkono wa Bwana si mfupi, eh Wala sikio lake si zito kusikia Mkono wa Bwana si mfupi Wala sikio lake si zito kusikia Si zito, si zito Ooh, mwamini Yesu wee Uuh Halelluya ni mwaminifu, eeh ooh Hakika mkono wa Bwana si mfupi, (si mfupi) Wala sikio lake si zito kusikia Mkono wa Bwana si mfupi (Halelluya) Wala sikio lake si zito kusikia Mkono wa Bwana si mfupi, (eeh) Wala sikio lake si zito kusikia (atatenda miijuza kwa ajili yako) Mkono wa Bwana si mfupi Wala sikio lake si zito kusikia Ooh, eeh Mkono wa Mungu si mfupi, eeh (Still Alive)
Writer(s): Mercy Masika, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out