Top Songs By Ashery Willy
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ashery Willy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Asheri K Wilbard
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Shaska
Producer
Lyrics
Umenipe.
Umenipe eeh .
Umenipenda
Umenipe.
Umenipe eeh .
Umenipenda
Pendo lake kwetu lilionekana
Aaaah
Alipokubali kushuka kama mtumwa
Pamoja na kua na hali ile ya kiungu
Alijifanya kua hana utukufu
Akautwaa mfano wa wanadamu
Alinyenyekea
Aaaah nakuita Baba
Ooooooh waniita mwana
Nikijua
Niko pendoni
Nikijua
Niko pendoni
Napendwa
Napendwa
Napendwa
Napendwa
Kuna raha nyumbani mwa Bwana
Na sitaki kuondoka kwa Bwana
Kwa yale yote ambayo kwangu umefanya
Vipawa vyangu ni zawadi kwako Bwana
Ulinijua hata kabla sijaumbwa
Uliniona
Aaah nakuita Baba
Ooh waniita mwana
Nikijua
Niko pendoni
Nikijua
Niko pendoni
Napendwa
Napendwa
Napendwa
Napendwa
(Ni ishara ya Upendo
Kumtoa mwanae ampendae kwa dhati
Najua wanipenda)
Writer(s): Asheri K Wilbard
Lyrics powered by www.musixmatch.com